Afisa Mwendeshaji wa Benki ya FBME,Abia Maneno akizungumza mara baada ya kukabidhi mashuka 200 kwa Kaimu Mganga mkuu wa Hospitali ya Mwananyama leo.
Kaimu Mganga Mkuu wa Hospital ya Mwananyamala,Dr. Kariamel Wandi akitoa shukrani kwa wadau wa benki ya FBME waliotoa msaada wa mashuka 200 kwa ajili ya wagonjwa wa hopitali hiyo.
Afisa Mwendeshaji wa Benki ya FBME,Abia Maneno (kulia) akikabidhi moja ya mashuka 200 yaliyotolewa na benki hiyo kwa Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala,Dr. Kariamel Wandi.makabidhiano hayo yamefanyika mchana wa leo katika hospitali hiyo.
Meneja wa Benki ya FBME tawi la Dar es Salaam,Haider Mwinyimvua (katikati) akiwa pamoja na Maafisa Waendeshaji wa Benki hiyo.Kulia ni Khanat Aboud na kushoto ni Abia Maneno wakimsikiliza Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala,Dr. Kariamel Wandi (hayupo pichani) wakati akitoa shukrani ya msaada walioupata.
No comments:
Post a Comment