Wednesday, December 15, 2010

Mkutano Wa Kimataifa Wa Mawaziri Wanaoshughulikia Masuala Ya Maendeleo Ya Wanawake Na Jinsia Kufunguliwa Desemba 16


Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto,Sophia Simba (kushoto) akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam juu ya Mkutano wa Kimataifa wa mawaziri wanaoshughulikia masuala ya maendeleo ya wanawake na jinsia katika Nchi wanachama wa Ukanda wa maziwa makuu unaorajia kuanza tarehe 16 hadi 18 Mwezi huu mjini Arusha. Mkutano huo utafunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na kufungwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein. Kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Clement Mshana.picha na Tiganya Vincent-MAELEZO- Dar es salaam

No comments:

Post a Comment