Sunday, September 19, 2010

WAZIRI MKUU, ZIARANI NCHINI MAREKANI


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (kushoto) wakisalimiana na Balozi wa Tanzania kwenye Umoja wa Mtaifa, Ombeni Sefue (kulia) na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mwanaidi Maajar (wapili kulia) baada ya kuwasili kwenye wa ndege wa JFK jijini New York Septemba 18,2010 ambako atamwakilisha Rais Jakaya Kikwete kwenye mkutano waa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu Maendeleo ya Millenia.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakizungumza na Balozi wa Tanzania kwenye umoja wa Mataifa , Ombeni Sefue (kushoto) na Balzoi wa Tanzania nchini Marekani Mwanaidi Maajar baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa JFK jijini New York Septemba 18, 2010 kumwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu Maendeleo ya Millenia.

No comments:

Post a Comment