Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Clement Mshana (kushoto) akiwa ameongozana na Makamu wa Rais wa Shirika la Habari la Xinhua - China Mr. Liu Yue mara baada ya kumpokea jana usiku katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere.Katikati ni Mwakilishi wa shirika hilo nchini Tanzania Bi. Guo Chunju.
Makamu wa Rais wa Shirika la Habari la la Xinhua - China Mr. Liu Yue akizungumza na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Clement Mshana, Mkurugenzi wa Shirika la Habari nchini (TBC) Bw. Tido Muhando na mwakilishi wa shirika Xinhua nchini Tanzania Bi. Guo Chunju.Mkurugenzi wa Idara ya Habari(MAELEZO) Clement Mshana akiwa katika mazungumzo mfupi na Makamu wa Rais wa Shirika la Habari la la Xinhua - China Mr. Liu Yue jana usiku jijini Dar es salaam mara baada ya kumpokea. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Raphael Hokororo, Mshauri wa masuala ya siasa wa ubalozi wa China- Tanzania Mr. Fu Jiqun na Mwakilishi wa shirika Xinhua nchini Tanzania Bi. Guo Chunju.Picha na Aron Msigwa

No comments:
Post a Comment