waziri mkuu atembelea Taasisi ya Saratani ya Ocean Road
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimtazama Winter Isaac (3) ambaye ni mmoja wa watoto waliolazwa kwenye Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam wakati alipotembelea Taasisi hiyo.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na waganga na wauguzi wa wodi ya watoto kwenye hospitali ya taifa ya Muhimbili pamja na baadhi ya watumishi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wakati alipotembelea hospitali hiyo kukagua wodi ya wazazi na watoto leo jijini Dar.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na watumishi wa Taasisi ya Saratani ya Ocean Road jijini Dar es salaam wakati alipoitembelea leo jijini Dar.
No comments:
Post a Comment