Tuesday, October 12, 2010

UZINDUZI WA TAMASHA LA FILAMU ZA ULAYA KUFANYIKA OKTOBA 14


Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania,Tim Clarke akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari wakati wa kutangaza uzinduzi wa tamasha la filamu za Ulaya ulifanyika leo katika hoteli ya Coral beach,jijini Dar.
Mwakilishi wa Filamu kutoka nchini Ireland,Rita Bowen akizungumza katika mkutano huo

No comments:

Post a Comment