Monday, October 4, 2010

KIKWETE NDANI YA DODOMA


Msanii Mabida akitumbuiza kwenye mkutano wa kampeni uliohutubiwa na mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete jana uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akisalimiana na chipukizi wakati akiwasili uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma jana ambako alihutubia mkutano wa kampeni.


Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akipungia wananchi wakati alipowasili uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma jana jioni kuhutubia mkutano wa kampeni.

Wananchi wa Dodoma wakimshangilia mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete alipowasili uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma, kuhutubia mkutano wa kampeni

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akihutubia mkutano wa kampeni uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma jana jioni.

Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Dodoma mjini Mallole David Mciwa wakati wa mkutano wa ke wa kampeni jana uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment