Thursday, October 21, 2010

KENYA WAADHIMISHA SIKU YA MASHUJAA KWA MARA YA KWA MARA YA KWANZA

watani wa jadi washerehekea siku ya mashujaa kwa mara ya kwanza
Rais wa Kenya, Mwai Kibaki akiwasalimia wananchi wa Kenya waliojitokeza katika uwanja wa Nyayo jijini Nairobi kuhudhuria sherehe ya mashujaa. Kwa mara ya Kwanza wakenya wamesherehekea siku ya mashujaa waliopigania uhuru wa nchi hiyo. Miaka ya nyuma walikuwa wanasherehekea siku hiyo kumkumbuka rais wa kwanza wa Nchi hiyo hayati Jommo Kenyatta.
vijana wa Scauti wakipita kwa heshima mbele ya Rais Mwai Kibaki (hayupo pichani) wakati wa sherehe za mashujaa zilizofanyika leo katika uwanja wa Nyayo jijini Nairobi . Kwa mara ya Kwanza wakenya wamesherehekea siku ya mashujaa waliopigania uhuru wa nchi hiyo. Miaka ya nyuma walikuwa wanasherehekea siku hiyo kumkumbuka rais wa kwanza wa Nchi hiyo hayati Jommo Kenyatta.
Askari wa Jeshi la Kenya wakitoa salamu ya heshima kwa Rais Mwai Kibaki (hayupo pichani) wakati wa sherehe za mashujaa zilizofanyika leo katika uwanja wa Nyayo jijini Nairobi . Kwa mara ya Kwanza wakenya wamesherehekea siku ya mashujaa waliopigania uhuru wa nchi hiyo. Miaka ya nyuma walikuwa wanasherehekea siku hiyo kumkumbuka rais wa kwanza wa Nchi hiyo hayati Jommo Kenyatta.
Wapiganaji wa vita vya Maumau wakipita kwa heshima mbele ya Rais Mwai Kibaki (hayupo pichani) wakati wa sherehe za mashujaa zilizofanyika leo katika uwanja wa Nyayo jijini Nairobi . Kwa mara ya Kwanza wakenya wamesherehekea siku ya mashujaa waliopigania uhuru wa nchi hiyo. Miaka ya nyuma walikuwa wanasherehekea siku hiyo kumkumbuka rais wa kwanza wa Nchi hiyo hayati Jommo Kenyatta.
Kinamama ambao walishiriki kwa njia moja au nyingine wakati wa vita vya Maumau wakipita kwa heshima mbele ya Rais Mwai Kibaki (hayupo pichani) wakati wa sherehe za mashujaa zilizofanyika leo katika uwanja wa Nyayo jijini Nairobi . Kwa mara ya Kwanza wakenya wamesherehekea siku ya mashujaa waliopigania uhuru wa nchi hiyo. Miaka ya nyuma walikuwa wanasherehekea siku hiyo kumkumbuka rais wa kwanza wa Nchi hiyo hayati Jommo Kenyatta.
Wananchi wa Kenya wakiwa wamejitokeza kwa wingi kuhudhuria siku ya mashujaa iliyofanyika leo katika uwanja wa Nyayo jijini Nairobi. Kwa mara ya Kwanza wakenya wamesherehekea siku ya mashujaa waliopigania uhuru wa nchi yao. Miaka ya nyuma walikuwa wanasherehekea siku hiyo kumkumbuka rais wa kwanza wa Nchi hiyo hayati Jommo Kenyatta.Picha na Anna Nkinda- Nairobi

No comments:

Post a Comment