Ankal Michuzi mdau mkubwa wa mambo za Blog akitoa tuzo ya Hall of Fame kwa mkongwe Zahir Ally Zorro huku akishuhudiwa na wanawe Banana (kulia) na Maunda pamoja na mzee mzima Kassim Mapili (shoto)
Baba na mwana na familia wakifurahia tuzo zao ambapo baba kapata ya Hall of Fame na mwana kaibuka mwimbaji bora wa kiume kwa mara ya pili mfululizo
Mwenyekiti wa African Stars entertainment Baraka Msiilwa akiwa ameshikilia tuzo tatu ambazo Twanga Pepeta wamepata, ikiwa ni pamoja na wimbo bora, albamu bora ya bendi na rapa bora iliyoenda kwa Khalidi Chokoraa
Bwana Misosi akishangilia tuzo ya wimbo bora wa Ragga aliyopewa na Sean Kingston
Mrisho Mpoto (shoto) aliondoka na tuzo ya wimbo bora wa asili na 'Mjomba'
Mzee Yusuf Alikomba tuzo za albamu bora ya taarab na ya mtunzi bora
Gadna G. Habash akipokea toka kwa Tajiri Mpoki tuzo ya mwanamuziki bora wa kike ya Lady JD aliyopokea kwa niaba ya mai waifu wake Jide
Khalidi Chokoraa akipokea tuzo ya Twanga pepeta wa Bendi bora
King Kikii akimkabidhi kwa Twanga Pepeta tuzo ya wimbo bora wa bendi
Lwiza Mbutu akisogea kutoa shukrani baada ya kupokea tuzo ya albamu bora ya bendi iliyoenda kwa Twanga Pepeta
Prodyuza bora wa mwaka akipokea tuzo
Diamond akisherehekea moja ya tuzo zake ikiwa ni pamoja na msanii bora anayechipukia, wimbo bora wa R& B toka kwa mwenyekiti wa Yanga Imani Madega
mzee yusuf akilamba jukwaani
Banana zorro akiburudisha na kundi la THT
Mwasiti akikupa 'kuku wa mdondo'
Twanga nao walikuwepo kupepeta
Wahapahapa band walifanya vitu vikubwa
Samaki na bata toka zenjiWASHINDI KWA UJUMLA
Mwimbaji bora wa kike
Lady Jaydee
Mwimbani bora wa kiume
Banana Zoro
Albamu bora ya taarab
Daktari wa Mapenzi -Jahazi Mordern taarab
Wimbo Bora wa Taarab
Daktari wa Mapenzi – Jahazi Morden taarab
Wimbo bora wa Kiswahili
Mwana Dar es Salaam – African Stars Band
Albam bora ya Bendi
Mwana Dar es Salaam - African Stars Band
Wimbo bora wa R&B
Kamwambie -Diamond
Wimbo bora asili ya kitanzania
Nikipata nauli - Mrisho Mpoto
Wimbo bora wa Hip Hop
Stimu zimelipiwa - Joh Makini
Wimbo bora wa Reggae
Leo (Reggae remix) -AY
Wimbo bora wa Raga
Bwana misosi - Mungu yuko Bize
Rappa bora aw mwaka (Bendi)
Chokoraa
Msanii bora wa Hip-Hop
Chid Benzi
Wimbo bora wa Afrika Mashariki
Haturudi nyumba - Kidumu FT. Juliana
Mtunzi bora wa nyimbo
Mzee Yusuf
Mtayarishaji bora wa nyimbo
Lamar
Video bora ya muziki ya mwaka
C Pwaa – Problem
Wimbo bora wa Afro Pop
Pii pii (Missing my baby)
Msanii bora anayechipukia
Diamond
Wimbo bora wa kushirikiana
Nipigie -AT-Stara Thomas
Wimbo bora wa Mwaka
Kamwambie -Diamond
WALK OF FAME
1. ZAHIR ZORRO
2. CLOUDS FM







No comments:
Post a Comment