Sunday, May 30, 2010

Watanzania tunsaidie huyu mwenzetu


Huyo hapo mwanafunzi ambaye nilimkuta shule moja ya msingi Dodoma. Ni mlemavu wa mikono na miguu ila anatumia mguu wa kulia kufanya shughuli zake zote. Anaetaka kumsaidia tuwasiliane – +255 787 771 414 au +255 715 771 414.


No comments:

Post a Comment