Dada Magreth Mutalemwa akimuombea mgonjwa kabla ya kumpa kikombe cha dawa!
Aisee kweli maradhi ni mtihani mkubwa ambao Mwenyezi Mungu ametuumbia wanaadamu, hivyo haya yote ni matokeo ya kwamba watu wanahitaji tiba kwa hali yoyote ile. Hivyo kama kweli hawa matabibu anatibu basi tuwape ushirikiano!!
|
No comments:
Post a Comment