mkuu wa mkoa wa Mwanza, Abbas Kandoro akimkabidhi mwenge wa uhuru mkuu wa mkoa wa Kagera Mohamed Babu.
kamanda wa jeshi la polisi mkoani Kagera Henry salewi akipokea mwenge toka kwa mkimbiza mwenge kitaifa Dr. Nassoro Ali Matunzya.
baadhi ya wajumbe ya kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Kagera wakiwa katika picha ya pamoja wakati wakisubili kuupokea mwenge ulioanza mbio zake mkoani Kagera wakati ukitokea mkoani Mwanza.Picha na Audax Mutiganzi.

No comments:
Post a Comment