mahojiano ya waziri mkuu,mh. pinda na idhaa ya kiswahili ya umoja wa mataifa
Mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa,Bi. Flora Nducha akifanya mahohiano na Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda ambaye yupo nchini Marekani kuhudhulia mkutano wa baraza kuu la Umoja wa Mataifa unaendelea huku viongozi na wawakilishi kutoka nchi zote wanachama wa Umoja wa Mataifa wakiwasilisha masuala wanayoona yanaisumbua dunia. Mada mbalimbali zimejadiliwa ikiwemo utawala wa kimataifa, usalama na amani na leo tishio la ugaidi likiwa limechukua nafasi kubwa kwenye baraza hilo.
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Mtangazaji wa idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa,Bi. Flora Nducha.
No comments:
Post a Comment